Follow us:
The Revolutionary Government of Zanzibar

Ministry Of Trade and Industrial Development Zanzibar

Events
09th, August 2022

WAZIRI WA BIASHARA AFANYA ZIARA YA GHAFLA KIWANDA CHA NGUO CHA BASRA

Waziri wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda, Mhe Omar Said Shaaban akiangalia baadhi ya bidhaa ambazo zinazalishwa katika kiwanda cha Nguo kinachojulikana kwa jina la Basra kilichopo Muembe Makumbi Zanzibar alipofanya ziara ya ghafla kwa lengo la kutaka kujua kwa nini kiwanda hicho kimesitisha uzalishaji. kushoto ni Meneja wa kiwanda hicho Saleh Suleiman Hamad. Waziri wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda Zanzibar, Mhe Omar Said Shaaban akitaka na kuhoji ili apate maelezo ya kina juu ya kusita kwa uzalishaji Waziri wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda Zanzibar, Mhe Omar Said Shaaban akifahamishwa kitu na Mkurugenzi wa kiwanda cha kuzalisha nguo cha Basra kilichopo Muembe Makumbi Zanzibar alipofanya ziara ya ghafla kwa lengo la kutaka kujua kwa nini kiwanda hicho kimesitisha uzalishaji.
Back
Contact Us
Languages