IDARA YA MAENDELEO YA VIWANDA

Majukumu: Idara hii ina jukumu la kusimamia sera za kukuza maendeleo ya viwanda, ujasiriamali, na kufanya ukaguzi wa miradi ya viwanda na uzalishaji.