Waziri wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda Mhe. Omar Said Shaaban akielezea mafanikio ya Miaka Minne (4) ya Wizara kwa Uongozi wa Serikali ya Awamu ya Nane inayoongozwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapindizi Mhe. Dkt Hussein Ali Mwinyi kwa kipindi cha Miaka minne wakati akizungumza na waandisha wa Habari katika Shirika la Utangazaji (ZBC).
Read MoreKatibu Mkuu wa Wizara ya Biashara na Maendeleo ya Viwanda Bi Fatma Mabrouk Khamis akiwa na Mkurugenzi Idara ya Biashara, Uwekezaji na Sekta za Uzalishaji Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano Bw. Benjamin Mwesiga alishiriki na kuchangia mapendekezo ya Tanzania katika mkutano wa 19 wa kamati ya Makatibu wakuu wa eneo huru la Biashara Afrika STOs Novemba, 2024 uliofanyika jijini Adis aba Ethi
Read MoreWaziri wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda Mhe. Omar Said Shaaban akiwasilisha taarifa ya bajeti ya utekelezaji ya Wizara kwa mwaka wa fedha 2024/2025 kwa kipindi cha robo mwaka kuanzia Julai hadi Septemba 2024/2025 kwa Kamati ya Bajeti ya Baraza la Wawakilishi iliyoongozwa na Mwenyekiti wa Kamati Mhe. Mwanaasha Khamis Juma.
Read MoreMheshimiwa Omar Said Shaaban akiwa na Viongozi mbali mbali akitembelea mabanda ya maonesho wakati wa Ufunguzi wa Maonesho ya Viwanda yaliyofanyika katika Viwanja vya Sabasaba Jijini Dar-es-Salaam.
Read MoreMheshimiwa Omar Said Shaaban akiwa na Viongozi mbali mbali akitembelea mabanda wakati wa Ufunguzi wa Maonesho ya Viwanda yaliyofanyika katika Viwanja vya Sabasaba Jijini Dar-es-Salaam.
Read MoreMheshimiwa Omar Said Shaaban akiwa na Viongozi mbali mbali wakati wa Ufunguzi wa Maonesho ya Viwanda yaliyofanyika katika Viwanja vya Sabasaba Jijini Dar-es-Salaam.
Read MoreUwekaji saini wa Mkataba baina ya Kampuni ya Mwani (ZASCO) na Taasisi ya Umoja wa Mataifa inayoshughulikia Mfuko wa Mitaji ya Maendeleo (UNCDF). Mkataba huu unalenga kusaidia Sekta ya Mwani nchini.
Read MoreKAMATI YA KILIMO, BIASHARA NA UTALII YA BARAZA LA WAWAKILISHI IMETEMBELEA ENEO TENGEFU LA MRADI WA UJENZI WA VIWANDA LILIOPO PANGATUPU WILAYA YA KASKAZINI 'B' UNGUJA
Read MoreViongozi wa Wizara wakiwa katika picha ya pamoja wakati wa makabidhiano ya Wizara
Read MoreWaziri wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda Zanzibar Mhe.Omar Said Shaban akizungumza na waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali. SERIKALI ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) imeweka utaratibu mpya wa uuzaji wa zao la karafuu ambapo sasa wakulima watalipwa kuendana na bei ya soko la nje badala ya ile inayopangwa na serikali bila kuzingatia thamani sokoni. Akizungumza na waandishi wa habari mjini
Read MoreWaziri wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda Zanzibar Mhe.Omar Said Shabaan akizungmza na waandish wa Habari juu ya Bei elekezi ya vyakula ikwemo Mchele, Unga wa Ngano na Sukari kwa mwezi mtukufu wa Ramadhani hapo Afisini kwake Malindi Zanzibar. SERIKALI ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) imetangaza bei elekezi kwa ajili ya bidhaa za vyakula vinavyotumiwa wakati wa mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani u
Read MoreWaziri wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda, Mhe Omar Said Shaaban akiangalia baadhi ya bidhaa ambazo zinazalishwa katika kiwanda cha Nguo kinachojulikana kwa jina la Basra kilichopo Muembe Makumbi Zanzibar alipofanya ziara ya ghafla kwa lengo la kutaka kujua kwa nini kiwanda hicho kimesitisha uzalishaji. kushoto ni Meneja wa kiwanda hicho Saleh Suleiman Hamad. Waziri wa Biashara na Maendeleo ya
Read More