Waziri wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda Mhe. Omar Said Shaaban akielezea mafanikio ya Miaka Minne (4) ya Wizara kwa Uongozi wa Serikali ya Awamu ya Nane inayoongozwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapindizi Mhe. Dkt Hussein Ali Mwinyi kwa kipindi cha Miaka minne wakati akizungumza na waandisha wa Habari katika Shirika la Utangazaji (ZBC).