Follow us:
The Revolutionary Government of Zanzibar

Ministry Of Trade and Industrial Development Zanzibar

Events
11th, November 2024

Mkutano wa 19 wa Kamati ya Makatibu wakuu wa Eneo Huru la Biashara Afrika STOs Novemba, 2024

Katibu Mkuu wa Wizara ya Biashara na Maendeleo ya Viwanda Bi Fatma Mabrouk Khamis akiwa na Mkurugenzi Idara ya Biashara, Uwekezaji na Sekta za Uzalishaji Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano Bw. Benjamin Mwesiga alishiriki na kuchangia mapendekezo ya Tanzania katika mkutano wa 19 wa kamati ya Makatibu wakuu wa eneo huru la Biashara Afrika STOs Novemba, 2024 uliofanyika jijini Adis aba Ethiopia Mkutano huo ulipokea na kujadili taarifa kutoka kwa kamati ya Biashara Mtandao, uwekezaji , Biashara ya Bidhaa,Wanawake na Vijana katika AfCFTA, Haki Bunifu na Biashara ya Huduma ili waziwasilishe katika mkutano wa baraza la Mawaziri wa Biashara wa Biashara Afrika utakoafanyika tarehe9-10 Novemba 2024. Tanzania ni Mwenyekiti wa Mkutano ya AfCFTA kwa 2024 kuanzia Januari hadi Disemba 2024.




Back
Contact Us
Languages