Waziri wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda Mhe. Omar Said Shaaban akiwasilisha taarifa ya bajeti ya utekelezaji ya Wizara kwa mwaka wa fedha 2024/2025 kwa kipindi cha robo mwaka kuanzia Julai hadi Septemba 2024/2025 kwa Kamati ya Bajeti ya Baraza la Wawakilishi iliyoongozwa na Mwenyekiti wa Kamati Mhe. Mwanaasha Khamis Juma.