Ministry Of Trade and Industrial Development Zanzibar
Events
13th, December 2022
Mheshimiwa Omar Said Shaaban akiwa na Viongozi mbali mbali akitembelea mabanda wakati wa Ufunguzi wa Maonesho ya Viwanda yaliyofanyika katika Viwanja vya Sabasaba Jijini Dar-es-Salaam.