Ministry Of Trade and Industrial Development Zanzibar
Events
13th, December 2022
UFUNGUZI WA MAONESHO YA VIWANDA 2022
Mheshimiwa Omar Said Shaaban akiwa na Viongozi mbali mbali wakati wa Ufunguzi wa Maonesho ya Viwanda yaliyofanyika katika Viwanja vya Sabasaba Jijini Dar-es-Salaam.