The Revolutionary Government of Zanzibar
Ministry Of Trade and Industrial Development

MESSAGE FROM THE MINISTER
Mhe. OMAR SAID SHAABANI
Minister for Trade and Industrial Development

We welcome you to the joint website for the Ministry Of Trade and Industrial Development Zanzibar. The Ministry website has helped to enhance ICT tools usage within the sector. I urge all the stakeholders and the affiliated institutions to use the website as it contains information about the Ministry and its affiliated institutions and has simplified information flow across the sector. We hope this website will be of benefit to many users as it will contain useful information including Ministry structure and mandate, policies, speeches, reports, publications, photos and videos.


READ MORE
Popular Ministry Events
#

ZANZIBAR HOLIDAY MARKET FESTIVAL

Waziri wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda Zanzibar Mh. Omar Saidi shaban' alikuwa mgeni rasmi katika Tamasha laliloanzishwa na (zato) zanzibar holiday market festival huko hotel ya vedre nje kidogo ya mji wa zanzibar lililoanza tarehe 21/5 mpaka 23/5/2020. ZATO imenza kutumia uzoefu ilioopata kwa kushiriki matamasha waliyo yapata ndani na nje ya nchi na sasa wamefanikiwa kuandaa hapa Zanzibar.

23 May, 2021
#

MAONESHO YA BIASHARA YA RAMADHANI

Waziri wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda Zanzibar Mh. Omar Said Shaban amefungua maonesho ya biashara ya ramadhani (ramadhan shopping festival).uliofanyika tarehe 10/5/2021 mnarani kisonge. maonesho hayo yameandaliwa na jumuiya ya wafanya biashara zanzibar (zncc). Maonesho hayo yamewashirikisha wafanyabiashara na wajasiriamali wa ndani na nje ya zanzibar.

10 May, 2021
#

ZIARA YA KIWANDA CHA MAZIWA CHA AZAM FUMBA NA ZANTO TOMATO SHAKAN

Waziri wa Biashara na Maendeleo ya viwanda Mh. Omar Said Shaban afanya ziara katika kiwanda cha maziwa cha azam fumba na zanto tomato shakan. Mh. Waziri alipata maelezo kutoka kwa wajasiriamali wa viwanda hivyo na kueleza changamoto walizonazo, aidha Mh. Waziri aliwaeleza kuwa atazifuatilia changamoto ilikuweza kufikia malengo ya viwanda hivyo.

3 May, 2021
#

WAZIRI AKUTANA UONGOZI WA BARAZA LA USIMAMIZI MFUMO WA UTOAJI LESENI(BLRC)

Waziri wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda Mh. Omar Said Shaban. akutana uongozi wa Baraza la Usimamizi mfumo wa utoaji Leseni(BLRC) zanzibar. katika ukumbi wa (blrc) mh. waziri ameuweleza uongozi kuweza kuengeza bidii katika kufanya kazi na kuweza kufikia malengo ya Taasisi hio kwa haraka na ufanisi mkubwa.

1 May,2021
#

ZIARA KATIKA MADUKA YA CHAKULA YA KWEREKWE SOKONI NA MAHALA YA CHAKULA YA SAATENI

Katubu Mkuu wa Wizara ya Biashara na Maendeleo ya Viwanda Zanzibar Dr. Islam S. Salum afanya ziara katika maduka ya chakula ya Kwerekwe sokoni na maghala ya chakula ya Saateni. lengo ni kufuatia bei elekezi ya vyakula iliyowekwe na serekali kwa kipindi hichi cha ramadhani, na uwepo wa chakula maghalani.

17 April, 2021
TOP VIDEO NEWS
RECENT POSTS

SMZ YATANGAZA BEI ELEKEZI YA KARAFUU.

Malindi, Zanzibar

Waziri wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda Zanzibar Mhe.Omar Said Shaban akizungumza na waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali....

read more
April 15, 2021 @ 2:00 PM

SMZ YATANGAZA BEI ELEKEZI ZA VYAKULA MWEZI WA RAMADHANI

MALINDI, ZANZIBAR

Waziri wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda Zanzibar Mhe.Omar Said Shabaan akizungmza na waandish wa Habari juu ya Bei elekezi ya vyakula ikwemo Mchele...

read more
April 11, 2021 @ 3:00 PM

WAZIRI WA BIASHAR AFANYA ZIARA YA GHAFLA KIWANDA CHA NGUO CHA BASRA

CHUMBUNI, ZANZIBAR

Waziri wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda, Mhe Omar Said Shaaban akiangalia baadhi ya bidhaa ambazo zinazalishwa...

read more
MARCH 13, 2021 @ 3:00 PM